Collection: Yesu (Yahusha)

  • Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele (Yohana 3:16).
  • Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima. mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi (Yohana 14:6)